WHATSAPP YALETA AINA MPYA YA STATUS | TRICKS ZOTE

WHATSAPP YALETA AINA MPYA YA STATUS

Hivi karibuni programu ya WhatsApp inaonekana kuongezewa vipengele vingi zaidi na vyenye kuboresha matumizi ya programu hiyo, katika kusisit...

Hivi karibuni programu ya WhatsApp inaonekana kuongezewa vipengele vingi zaidi na vyenye kuboresha matumizi ya programu hiyo, katika kusisitiza hilo hivi karibuni WhatsApp imeanza kutoa toleo jipya la programu hiyo likiwa na aina mpya ya status ambayo ipo tofauti na ile iliyozoeleka.

Aina hiyo mpya ya Status ni ya kipekee kwani sasa mtumiaji ataweza kuweka video fupi inayo fanana na ile ya kwenye Instagram stories kama status kwenye programu hiyo. Vile vile kama ilivyo kwenye programu ya Snapchat video hiyo haito dumu kwa muda mrefu kama tulivyozoea kwenye status za kawaida za whatsapp, bali hivi sasa statu hiyo ya video itapotea kila baada ya masaa 24 yani siku moja baada ya kuiweka.

Akiongea na waandishi wa tovuti ya teknolojia ya Gadgets 360 ya india meneje bidhaa wa WhatsApp alisema kuwa aina hiyo mpya ya status ni mchanganyiko wa sehemu tatu ambazo tayari zilikuwepo kwenye programu hiyo, sehemu hizo ni broadcast lists, media sharing, pamoja na sehemu ya kawaida ya status ambayo ndio inatumika sana kwa sasa.

Ili kutumia sehemu hiyo mpya itakubidi kuangalia sehemu mpya ambayo ipo katikati ya sehemu ya Chats na Calls ambapo hapo utaona sehemu hiyo ambayo kupitia hapo utaweza kutengeneza status yako kama ilivyo kwenye Snapchat au Instagram Stories. Hata hivyo ndani ya sehemu hiyo ya kuweka status pia utaona status zako ambazo ulisha wahi kutengeneza pamoja na status zile ambazo marafiki zako walitengeneza ndani ya masaa 24 yani siku moja.

Sehemu hiyo mpya imesha tolewa rasmi na sasa imeanza kusambaa kwenye nchi za Europe na inategemewa kusambaa kwa watumiaji wote wa programu za WhatsaApp za Android, iPhone na Windows dunia nzima.

COMMENTS

Name

Adsense,4,Advertise,1,Android,14,Antivirus,6,Apple,2,Apps,1,Blog / Magazine,1,Blog /Magazine,1,Blogger,1,Blogger Template,5,Blogging,5,Business,3,CodeCanyon,2,Computer,3,Corporate,3,Earn Money,1,Facebook,2,Gadget,2,Games,1,Gbwhatsapp,1,Hack,1,Hacker,1,Hp,1,Htc,1,HTC One M9,1,Huawei,1,Instagram,5,Internet,2,iOS,3,iPhone,1,iThemes,1,Laptop,1,Lenovo,1,MacBook,1,Magazine,1,Microsoft Surface Book,1,Mobile,9,Modem,4,News,9,News & Magazine,1,Nonprofit,1,Operating Systems,3,Personal,1,Personal Blogger Template,1,Phones & Tablets,8,Plugins,3,Premium Blogger Template,5,Responsive blogger templates,4,Review,2,Root,2,Samsung,1,Security,1,Seebait,1,Seo,3,Serial key,5,Software,1,Softwares,2,Solutions,3,Sony,2,Tablets,1,Tecno,2,Telegram,1,ThemeForest,9,Tigo,1,Top 10,1,Tricks,7,Tricks And Tips,13,Tutorial,41,Ubuntu,2,Unlock,3,Utilities,1,Video,1,Videos,1,Vodacom,1,Webdesigns,1,Whatsapp,14,Window7,2,Window8,1,Windows,4,Windows 10,2,Windows 7,3,Windows 8,2,Windows 8.1,1,WordPress Themes,7,WordPress Tutorials,1,Youtube,3,
ltr
item
TRICKS ZOTE: WHATSAPP YALETA AINA MPYA YA STATUS
WHATSAPP YALETA AINA MPYA YA STATUS
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgnODaCACN0jAPBdkbBshWIbn_dPXaUrxNGiS4PYcq70RL8pW5qjvlGu0tYOUJf4JZQIRLrIiLJIdvtcEuxwEqedpf7NPnXmvkp8h3QHsGrzJVvtcNWII9OSJkxtaR4ZKVrakD0phpis_U/s1600/Status-za-Whatsapp.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgnODaCACN0jAPBdkbBshWIbn_dPXaUrxNGiS4PYcq70RL8pW5qjvlGu0tYOUJf4JZQIRLrIiLJIdvtcEuxwEqedpf7NPnXmvkp8h3QHsGrzJVvtcNWII9OSJkxtaR4ZKVrakD0phpis_U/s72-c/Status-za-Whatsapp.jpg
TRICKS ZOTE
http://zotekalitricks.blogspot.com/2017/02/whatsapp-yaleta-aina-mpya-ya-status.html
http://zotekalitricks.blogspot.com/
http://zotekalitricks.blogspot.com/
http://zotekalitricks.blogspot.com/2017/02/whatsapp-yaleta-aina-mpya-ya-status.html
true
1497846088060985027
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy