Instagram ni moja ya mtandao wa kijamii ambao unatumiwa na watu zaidi ya billioni moja. Kwenye playstore peke yake instagram imekuwa downloa...
Instagram ni moja ya mtandao wa kijamii ambao unatumiwa na watu zaidi ya billioni moja. Kwenye playstore peke yake instagram imekuwa downloaded zaidi ya mara billioni moja.
Watu wengi wanatumia instagram kila siku lakini yapo mambo mengi mapya ambayo wengi wetu bado hatuja yafahamu. Leo ntaelezea mambo matano mapya ambayo instagram wameanzisha ndani ya mwaka 2017 na baadhi ni ya mwaka 2016.
Sasa kwenye Instagram utaweza kujichukua au kuji record live na watu ambao wame kufollow wakawa wanakuona live. Watu wataweza ku comment huku video yako ikiwa live.

Live Stories

COMMENTS