Kampuni ya nokia leo imeweza kuonyesha kurudi kwa kishindo kwa kuzindua simu zake tatu zenye kutumia Android pamoja na simu mpya ya Nokia 33...
Kampuni ya nokia leo imeweza kuonyesha kurudi kwa kishindo kwa kuzindua simu zake tatu zenye kutumia Android pamoja na simu mpya ya Nokia 3310 ambayo imeboreshwa zaidi. Simu hii ambayo imezinduliwa leo imekuja na ubora pamoja na muonekano mpya wa kuvutia sana, huniamii.!! angalia video hapo chini.
Nokia 3310 inakuja kwa rangi nne tofauti yani njano, nyekundu, kijivu na blue simu hii imetengenezwa kwa ubora na kiukweli simu hii inavuti sana naweza kusema hii ndio simu itakayo chukua ulimwengu wa simu ndogo za Nokia kwa mwaka huu 2017. Kuhusu bei Nokia 3310 itauzwa kwa Euro €49 sawa na shilingi za kitanzania Tsh 120,000 simu hii inategemewa kuingia sokoni kuanzia mwezi wa tatu hivyo kaa tayari kuipata.
- Sifa za Nokia 3310

COMMENTS