JINSI YA KUFUNGUA BLOG HATUA KWA HATUA BURE | TRICKS ZOTE

JINSI YA KUFUNGUA BLOG HATUA KWA HATUA BURE

Habari ndugu zangu ni wakati mwingine tena tunakutana katika ukumbi kwaajili ya kupeana maarifa, leo nimekuja kwenu kuwajuza kuhusu blog na ...

Habari ndugu zangu ni wakati mwingine tena tunakutana katika ukumbi kwaajili ya kupeana maarifa, leo nimekuja kwenu kuwajuza kuhusu blog na jinsi ya kuimiliki.

vifaa vya kutumika wakati wa utengeneza blog
Naam kwanza kabisa lazima uwena vifaa hivi


  • laptop, computer au simu (yenye uwezo wa internet)
  • modem (kama unatumia PC)
  • Bundle (kifurushi cha internet)
ukiwa na vifaa hivyo tayari kuanza kazi yako ya kufungua blog yako, cha kufanya ingia katika Browser yako katika kifaa unachotumia kufungua blog yako, hapa lazima uwe na akaunti ya google yaani uwe mmiliki wa gmail (MFANO : Riyadibhai@gmail.com) kisha ingia kwenye link hii www.blogger.com 
kisha log in,
itatokea mfano wa kwenye picha hapo juu kisha bonyeza next, lakini kama hauna akaunti bofya creat account (Fungua akaunti) itakuletea fomu kama hii chini pichani
kisha jaza form yao kama hapa chini pichani
utabonyeza sehemu iliyoandikwa Next watakuletea sehemu ambayo utatakiwa kujaza namba ya simu ili wakutumie msimbo (tarakimu sita) au watakupigia hii ni kutokana na mfumo utakao chagua mwenyewe hakikisha namba ulijaza hapo lazima iwe hewani kwa muda huo
kisha bonyeza continue watakuletea sehemu ya kujaza msimbo uliotumiwa
utajaza hapo kwenye kasanduku msimbo uliotumiwa kisha bonyeza continue endelea mpaka katika blogger, ukisha log in utana sehemu ya upande wa kulia wa dashbodi ya blogger imeandikwa (Creat blog) fungua blog utabofya hapo kisha utajaza kichwa cha blog yako mfano Riyadi bhai kisha utajaza url ya blog unayoitaka mfano
Riyadibhai.blogspot.com kisha chagua kielelezo (Template) kisha bofya creat blog (fungua blog) mpaka hapa utakuwa tayari umefanikiwa kufungua blog yako.

Soma [How to Add Facebook Like Box for blogger blog]

lakini pia kama unataka blog yenye muonekano mzuri wasiliana nami whatsapp 0786242562 nitakutengenezea kwa Tsh 20000 Tu. 

Soma [Njia za kupata pesa kupitia adsense kwenye blog/website yako]


hizi ni baadhi ya kazi nilizowahi kuzifanya







Hizo ni baadhi chache kati ya nyingi nilizowahi kuzifanya kabla njoo ufanye kazi nami kwa ni uhakika hakuna rongorongo ukifanya kazi nami, kama tayari unablog na unahitaji Application bonyeza hapa

COMMENTS

Name

Adsense,4,Advertise,1,Android,14,Antivirus,6,Apple,2,Apps,1,Blog / Magazine,1,Blog /Magazine,1,Blogger,1,Blogger Template,5,Blogging,5,Business,3,CodeCanyon,2,Computer,3,Corporate,3,Earn Money,1,Facebook,2,Gadget,2,Games,1,Gbwhatsapp,1,Hack,1,Hacker,1,Hp,1,Htc,1,HTC One M9,1,Huawei,1,Instagram,5,Internet,2,iOS,3,iPhone,1,iThemes,1,Laptop,1,Lenovo,1,MacBook,1,Magazine,1,Microsoft Surface Book,1,Mobile,9,Modem,4,News,9,News & Magazine,1,Nonprofit,1,Operating Systems,3,Personal,1,Personal Blogger Template,1,Phones & Tablets,8,Plugins,3,Premium Blogger Template,5,Responsive blogger templates,4,Review,2,Root,2,Samsung,1,Security,1,Seebait,1,Seo,3,Serial key,5,Software,1,Softwares,2,Solutions,3,Sony,2,Tablets,1,Tecno,2,Telegram,1,ThemeForest,9,Tigo,1,Top 10,1,Tricks,7,Tricks And Tips,13,Tutorial,41,Ubuntu,2,Unlock,3,Utilities,1,Video,1,Videos,1,Vodacom,1,Webdesigns,1,Whatsapp,14,Window7,2,Window8,1,Windows,4,Windows 10,2,Windows 7,3,Windows 8,2,Windows 8.1,1,WordPress Themes,7,WordPress Tutorials,1,Youtube,3,
ltr
item
TRICKS ZOTE: JINSI YA KUFUNGUA BLOG HATUA KWA HATUA BURE
JINSI YA KUFUNGUA BLOG HATUA KWA HATUA BURE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgVIEmzsdGqJGgQ5dXcSeLbJ52oQfh59m0HHj5m1ZT9YC6IstAcW4OXuuLyTkrJQVjWL2tEiAGdWiDZrEO38snoWyDOW3-FwmhPIDPDJEo73jU7Xtx7Ys4L0o7I_UHDDS9J2JnwSBrHDfI/s1600/bk.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgVIEmzsdGqJGgQ5dXcSeLbJ52oQfh59m0HHj5m1ZT9YC6IstAcW4OXuuLyTkrJQVjWL2tEiAGdWiDZrEO38snoWyDOW3-FwmhPIDPDJEo73jU7Xtx7Ys4L0o7I_UHDDS9J2JnwSBrHDfI/s72-c/bk.jpg
TRICKS ZOTE
http://zotekalitricks.blogspot.com/2017/01/jinsi-ya-kufungua-blog-hatua-kwa-hatua.html
http://zotekalitricks.blogspot.com/
http://zotekalitricks.blogspot.com/
http://zotekalitricks.blogspot.com/2017/01/jinsi-ya-kufungua-blog-hatua-kwa-hatua.html
true
1497846088060985027
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy