baadhi ya madereva wakilalamika sana kuhusu kulipa fine barabarani kwa kuzidisha mwendo. Kufuata sheria za barabarani ni jambo la kwanza, il...
baadhi ya madereva wakilalamika sana kuhusu kulipa fine barabarani kwa kuzidisha mwendo.
Kufuata sheria za barabarani ni jambo la kwanza, ila kuna matrafic wengine wanakera kweli kweli.
Download hii app hapa chini kwenye simu yako, itakujulisha uwepo wa speed kamera nusu kilometa kabla hujaifikia. Utaepuka fine kirahisi.
Speed Cameras & Traffic Sygic - Android Apps on Google Play

COMMENTS