Pale unaponunua simu Mpya Bila shaka Huwa kuna Data Au Vitu vya muhimu ambavyo Ama kwa Hakika bado unavihiitaji viwepo kwenye simu yako mp...
Pale unaponunua simu Mpya Bila shaka Huwa kuna Data Au Vitu vya muhimu ambavyo Ama kwa Hakika bado unavihiitaji viwepo kwenye simu yako mpya. Leo nimekuletea njia rahisi ya kuhamisha vitu vyako vyote Mfano Contacts, SMS, Miziki, Videos, na Picha bila ya kupoteza hata kimoja.
1.NAMNA YA KUHAMISHA CONTACT ZAKO
Zile zama za kukopi Contact Pembeni kwenye karatasi kisha uanze kuzisave upya kwenye simu, Bila shaka zimepitwa na wakati. Badala yake tunatumia njia moja kati ya hizi tatu kurahisisha Maisha..
A) Weka SIM CARD yako katika simu ya zamani kisha kopi Contacts zako zote kwenye SIM CARD yako, Kisha Utaihamisha line na Kuiweka kwenye Simu yako Mpya. Kwenye simu yako mpya Bofya Copy from SIM CARD to Phone. Hapo utakua umesha Copy contact zako kwenye simu mpya. (NB ni Contacts 200 tu ndo zitakopiwa sababu ya uwezo mdogo wa Sim card)
B) Export kwa njia ya ‘SD card‘. katika Contacts kwenye simu yako ya zamani Bonyeza ‘Export Contact‘ to ‘Sd Card’. Kisha Itoe ‘Sd Card‘ Yako na iweke kwenye simu mpya, Kisha nenda kwenye Contacts Bonyeza Import from ‘Sd Card’. hapo utakua umesha Hamisha Contact zako Zote kuja kwenye simu mpya.
C) Kwa kutumia Google account. Hii inawezekana kwa Ku’set’ Google account yako na Kuiruhusu I’synch’ contact zako kwenye Google account. Baada ya Kuset hivyo, Log in kwenye simu mpya na Google account yako (Account ile ile uliyotumia kwenye simu ya Awali) na Contacs zako zitaji’download’ zenyewe baada ya Muda Fulani.
2.NAMNA YA KUHAMISHA PICHA, MIZIKI NA VIDEOS KWENDA KWENYE SIMU MPYA.
Hapa kuna njia nyingi kama vile kutumia SD Card yenye uwezo mkubwa kucopy na kuhamishia kwenye simu mpya au kutumia baadhi ya apps za cloud storage kama Google Drive, Google Photos au DropBox kuhamisha vitu vyako. Tatizo la njia hizo zinahitaji kiasi kikubwa cha MB.
Hivyo kwa urahisi tumia kompyuta yako kuhamisha mafaili kwa kuya’Copy‘ kwenye kompyuta kwanza alafu kuyahamishia kwenye simu mpya Kwa kutumia USB.
3. NAMNA YA KUHAMISHA APPLICATION BILA KUPOTEZA DATA
Unaweza kufanya Hivyo ikiwa Ume’Root‘ Simu yako, Japo sio vyema Ku’Root’ simu yako Mpya kwa sababu utaharibu uhalali wa Warrant ya simu yako Punde utakapo ‘Root’. Ikiwa umesha’Root’ tumia Application inaitwa TITANIUM BACKUP itakurahisishia swaa hilo.
4.NAMNA YA KUHAMISHA SMS ZAKO IKIWA BADO UNAZIHITAJI.
Kuhamisha SMS ni Rahisi unaweza kutumia Application inaitwa SMS BACKUP & RESTORE Utazi ‘BackUp’ Sms zako kwenye simu ya awali kisha utazi ‘Restore‘ kwenye simu mpya.

COMMENTS