“Kingo Root” Ni moja ya Application Nzuri zilizo Rahisisha Suala zima la Ku’root’ Android Smartphones, Bila hata ya Kutumia PC. Kabla ya ...
“Kingo Root” Ni moja ya Application Nzuri zilizo Rahisisha Suala zima la Ku’root’ Android Smartphones, Bila hata ya Kutumia PC.
Kabla ya Kuanza Mchakato Huu hakikisha Simu yako ina vitu vifuatavyo
DownLoad Itaanza Yenyewe, Mara baada ya Ku’click’ Download, Kama Chrome Ikikuonya
Ikiwa Umefanikisha Utaletewa Ujumbe “SUCCEEDED” Kama inavyoonekana katika Picha.
KIDOKEZO MUHIMU: ‘ROOT AT YOUR OWN RISK’ RIYADI BHAI HAITAHUSIKA IKITOKEA TATIZO LOLOTE LITAKALOPELEKEA KUHARIBU KIFAA CHAKO
Kabla ya Kuanza Mchakato Huu hakikisha Simu yako ina vitu vifuatavyo
- Simu iwe Imewashwa
- Iwe na Chaji Angalau kuanzia Asilimia 50%
- Internet Connection, (WiFi Ikiwezekana)
- Ruhusu Uwekwaji wa Apps Kutoka Nje ya Play Store (Yaani unknown sources). (Nenda Settings>>>Security>>>Unknown Sources> weka Tiki)
Namna ya Ku’Root’ Android kwa Kutumia ‘Kingo Root’
- Download Kingo Root APK Hapa
DownLoad Itaanza Yenyewe, Mara baada ya Ku’click’ Download, Kama Chrome Ikikuonya
Bofya ‘OK‘ Kuendelea.
- Install Kingo Root APK katika Simu yako, Kabla ya kufanya Hivyo Hakikisha Umeruhusu Installation ya Apps Kutoka Nje ya Play Store. (Nenda Kwenye Settings>>>Security>>>Unknown Sources>> Weka Tick) Unaweza kusoma na hii [Soma Jinsi ya kuweka Playstore kwenye simu zisizokuwa na playstore]
Fungua Kingo Root APP na Uanze mchakato wa Ku’Root‘
Subiri kwa Muda Fulani Mpaka Matokeo Yatakapo Onekana kwenye kioo chako.
- Umefanikiwa Ku’Root’ Au ‘Imeshindikana’

COMMENTS