Ki kawaida Android Wamekua wakiilinda simu yako dhidi ya Mikono Isiyo Salama, kwa Kukuwekea Option ya kuweka ‘Password’ na ‘Kuchora Pattern...
Ki kawaida Android Wamekua wakiilinda simu yako dhidi ya Mikono Isiyo Salama, kwa Kukuwekea Option ya kuweka ‘Password’ na ‘Kuchora Pattern’ Lakini Haimanishi kwamba Simu yako haitafaa Tena iwapo utasahau Password Zako. Kuna Njia Kedekede za kutatua Tatizo Bila Hata ya Kutoa Sent 5 yako Ka Fundi.
Google wameimarisha Ulinzi zaidi Katika Matoleo yao mapya ya Android lakini haimaanishi kwamba Hakuna njia nyingine ya Kufanya Smartphone Yako itumike tena Iwapo tu Unakumbuka Google account yako na Password zake.
Hata kama huku set Google Android device manager Kwenye Simu yako bado utaweza kuitumia tena Simu yako Hatakama Haifunguki. Hili lina wezekana kwa kutumia kutumia Menu ya Recovery Mode ambayo utaipata kwa namna mbalimbali kulingana na simu yako kama ifuatavyo:
Kwa Samsung Galaxy
“home button+volume down” AU
“Volume Up + Volume Down + Power” AU
Home+volume down+Power button. AU
Volume Up + Camera.
[ Soma Jinsi ya kuondoa Patten au password kwenye simu yako bila kuflash ]
Iwapo simu yako Haita kubali Hizo codes, Jaribu kuGoogle Codes Za simu Husika, Ili upate Menu ya ‘Recovery mode’ ili uweze ku restore simu yako.
- Njia mbili za kufungua simujanja yako kama unakumbuka maelezo ya akaunti yako ya google
Google wameimarisha Ulinzi zaidi Katika Matoleo yao mapya ya Android lakini haimaanishi kwamba Hakuna njia nyingine ya Kufanya Smartphone Yako itumike tena Iwapo tu Unakumbuka Google account yako na Password zake.
- Ikiwa unakumbuka Google account Yako, mara baada Ya kuingiza password mara nyingi Mpaka kufikia Kiwango cha mwisho, utaletewa Kidirisha kikikuonyesha Uingize Google account yako na password Kisha uta Log in. Mara baada ya kulog in Utakua tayari Umeshafungua smartphone yako na utapewa nafasi ya ku’reset’ Password yako Mpya.
- Reset simu yako kwa kutumia ‘ANdroid Device Manager‘ Ikiwa kama ulisha Iseti kwenye simu yako Hapo kabla. Hapa ni rahisi Uta ‘log in’ kwenye google ‘ANDROID Device Manager’ Kwa kutumia Kompyuta au Simu nyingine Yenye Internet, Kisha utachagua Model ya simu ambayo Unataka kui reseti, Kisha utaingza password yako, na Utakua tayari umeshaifungua. NB; Simu iliyojifunga Itatakiwa iwe na Access ya Internet, Pia Utapoteza data zako zote kwenye Smartphone yako.
- Jinsi ya kureset simu yako kama haukumbuki maelezo ya akauti yako ya google
Hata kama huku set Google Android device manager Kwenye Simu yako bado utaweza kuitumia tena Simu yako Hatakama Haifunguki. Hili lina wezekana kwa kutumia kutumia Menu ya Recovery Mode ambayo utaipata kwa namna mbalimbali kulingana na simu yako kama ifuatavyo:
Kwa Samsung Galaxy
- Izime simu yako
- kisha bonyeza button hizi Zote kwa pamoja Home+volume down+Power button, Shikilia mpaka simu itakapo waka.
- Yatatokea maandishi, hiyo ndio Custome Recovery menu
- Shusha mpaka chini na chagua Factory Restore
- Hapo utakua umesha i‘facory restore’ smartphone yako na unaweza kuitumia tena.

COMMENTS