ANTIVIRUS 5 BORA KWA SMARTPHONE YAKO | TRICKS ZOTE

ANTIVIRUS 5 BORA KWA SMARTPHONE YAKO

Antivirus App Ni application ya Muhimu Sana Katika Smartphone Yoyote Ili kuepuka Uharibifu Unaoweza Kusababishwa na Virusi Vya Simu Ambavyo ...

Antivirus App Ni application ya Muhimu Sana Katika Smartphone Yoyote Ili kuepuka Uharibifu Unaoweza Kusababishwa na Virusi Vya Simu Ambavyo Hupatikana Kwa Njia Mbalimbali Ikiwemo Kutoka  katika Internet, Au hata Kurushiwa kwa njia ya Bluetooth Au Ku’Kopi’ kutoka kwenye Memory Kadi Au Kompyuta  iliyo na Mafaili yaliyo Athiriwa na Virusi.

Zifuatazo Ni Application Tano Bora za Antivirus Ambazo Zitaweza Kuilinda Simu yako Dhidi ya Uharibifu Kutokana Na Virus.

1.Avast Antivirus.

 

Avast Antivirus Ni Moja ya Antivirus maarufu sana na Moja ya Sababu ni Ya Umaarufu Huo kutokana na Kuwa na Version ya PC  Ambayo nayo imekua Ikifanya Vizuri Katika Ulinzi wa Kumpyuta. Avast Katika Android  ina watumiaji Takribani Milioni 100 ambao kati yao Millioni 4 wameweza kuipa Hadhi ya Nyota 4.5 Kutokana ya Ubora wake Mkubwa.
Avast inakuja na Features mbalimbali Kama ‘Device Scanning’(Huilinda simu yako kwa ujumla dhidi ya Virus), ‘Apps Scanning’(Huskani Ili kuondoa Apps zisizo samala), ‘Anti-Theft’(Hukusaidia Pale simu yako inapoibiwa), ‘Remote Lock Your device’(Utaweza Kuifunga simu yako Endapo Imeibiwa) na Pia  ‘Data base Update'(Data base yake Hujiupdate kila mara Ili kuwa ya Kisasa Kila Mara)
Avast Antivirus inapatikana PlayStore Bofya Hapa Ili Kui’Download’ kutoka PlayStore

2. AVG Antivirus

AVG Antivirus Ni Maarufu Pia Kwa watumiaji Wengi  wa Kompyuta  na Pia imekua ikifanya vyema katika Suala Zima la Ulinzi wa Simu Za Android.
AVG Antivirus Inakuja na Features mbalimbali kama ‘Device Scanning Scan’(Kuilinda simu yako kwa ujumla dhidi ya Virus), ‘Apps Scanning’(Huskani Ili kuondoa Apps zisizo samala), ‘Anti-Theft’(Hukusaidia Pale simu yako inapoibiwa), ‘Remote Lock Your device’(Utaweza Kuifunga simu yako Endapo Imeibiwa) na Pia  ‘Data base Update'(Data base yake Hujiupdate kila mara Ili kuwa ya Kisasa Kila Mara.
Kuongezea Juu ya Hayo, AVG Antivirus Inakuja na Features nyingine kama ‘Task Killer’, (Ambayo inakuwezesha Kubajeti Maisha ya betry yako Pia KuBajeti Nafasi katika Simu yako), ‘Remote Device Data Wiping’ (Inakuwezesha kufuta Data Zako Katika Simu Pindi Unapoibiwa Simu yako).
AVG Antivirus Inapatikana PlayStore  Bofya Hapa Ili Kui’Download Kutoka PlayStore.

3. 360 Security

 

360 Security Ni Antivirus Bora ya Android  Yenye watumiaji wengi Zaidi Kufikia Takribani ya  Watumiaji  Millioni 200, Huku watumiaji Millioni 15 Wakiipa  Application Hii Hadhi ya Nyota 4.6.
360 Security Inakuja na Features Nyingi mbalimbali Kama Vile ‘File scan‘(Kukagua File Moja Moja kama Lina Virusi), Real Time Protection’ (Hukulinda Kila Muda Uitumiapo Simu yako), ‘App Lock’(Inakuwezesha Kufunga Apps zako kwa Password’), Smart Battery Saver’ (Hukuwezesha kutunza Chaji ya Betry yako zaidi), 360 Security Pia Inakuja na ‘Booster’ pamoja na ‘Cleaner’ ambavyo Vyote kwa Pamoja Huongeza na Kuimarisha Utendaji wa Simu yako.
360 Security Inapatikana PlayStore  Buree, Bofya Hapa Kui’Download’ Kutoka PlayStore

4. Kaspersky Antivirus.

 

Kaspersky Antivirus, Ni moja ya Antivirus Bora za Android ambayo Ni Rahisi Kutumia na Inapatika Bure Play Store. Kaspersky Antivirus Ni Antivirus yenye Nguvu Hivyo Huhitaji Simu yenye Processor na RAM Kubwa  Ili Iweze kufanya kazi katika Simu Husika.
Kaspersky Antivirus Inakuja Na features kama ‘Scanning’, ‘Anti-Phishing‘(Hukulinda dhidi ya Udokozi), ‘Cloud Protection’,  ‘Ant-Theft’, Pia na Feature Nyingine Kama Kufanya Simu Kutoa Mlio wa Alarm Ili kukusaidia Kutafuta Simu yako  Pale Inapoibiwa.
Kaspersky Antivirus Inapatikana PlayStore  Bofya Hapa Kui’Download’ Kutoka PlayStore

5. McAfee Antivirus

 

McAfee Antivirus Ni moja kati ya Ant virus Zenye Majina Makubwa, Na Uzuri wa McAfee Antivirus Hakuna Tofauti Kubwa Kati Features za Kulipia Na Zile Za Bure.
Katika App Hii  Unapata Features Nyingi za Bure Zinazokupa Ulinzi wa Kutosha, Japo Baada ya kulipia Utapata Features za Ziada Kama ‘Power Booster’ Ambayo Unaweza Achana nayo Sababu Free Version imetoa Ulinzi wa Kutosha.McAfee Antivirus Inapatikana PlayStore Buree Bofya Hapa Ili Kui’Download’ Kutoka PlayStore.

 

COMMENTS

BLOGGER: 1
Loading...
Name

Adsense,4,Advertise,1,Android,14,Antivirus,6,Apple,2,Apps,1,Blog / Magazine,1,Blog /Magazine,1,Blogger,1,Blogger Template,5,Blogging,5,Business,3,CodeCanyon,2,Computer,3,Corporate,3,Earn Money,1,Facebook,2,Gadget,2,Games,1,Gbwhatsapp,1,Hack,1,Hacker,1,Hp,1,Htc,1,HTC One M9,1,Huawei,1,Instagram,5,Internet,2,iOS,3,iPhone,1,iThemes,1,Laptop,1,Lenovo,1,MacBook,1,Magazine,1,Microsoft Surface Book,1,Mobile,9,Modem,4,News,9,News & Magazine,1,Nonprofit,1,Operating Systems,3,Personal,1,Personal Blogger Template,1,Phones & Tablets,8,Plugins,3,Premium Blogger Template,5,Responsive blogger templates,4,Review,2,Root,2,Samsung,1,Security,1,Seebait,1,Seo,3,Serial key,5,Software,1,Softwares,2,Solutions,3,Sony,2,Tablets,1,Tecno,2,Telegram,1,ThemeForest,9,Tigo,1,Top 10,1,Tricks,7,Tricks And Tips,13,Tutorial,41,Ubuntu,2,Unlock,3,Utilities,1,Video,1,Videos,1,Vodacom,1,Webdesigns,1,Whatsapp,14,Window7,2,Window8,1,Windows,4,Windows 10,2,Windows 7,3,Windows 8,2,Windows 8.1,1,WordPress Themes,7,WordPress Tutorials,1,Youtube,3,
ltr
item
TRICKS ZOTE: ANTIVIRUS 5 BORA KWA SMARTPHONE YAKO
ANTIVIRUS 5 BORA KWA SMARTPHONE YAKO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhV6J7d7dQN_N5Xfi5aLr30vDHcYPptTyUKpOODNpziVBQTdhGTZjNlC1_edDNLhgu0oFA2Olw8oR5hQONAlbcldQXyQenDjvIZC9E9Mq7yE_YIqN6myNUt5gohyfAAIkdDtIhjvR70Igc/s1600/best-antivirus-apps-for-android.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhV6J7d7dQN_N5Xfi5aLr30vDHcYPptTyUKpOODNpziVBQTdhGTZjNlC1_edDNLhgu0oFA2Olw8oR5hQONAlbcldQXyQenDjvIZC9E9Mq7yE_YIqN6myNUt5gohyfAAIkdDtIhjvR70Igc/s72-c/best-antivirus-apps-for-android.jpg
TRICKS ZOTE
http://zotekalitricks.blogspot.com/2016/12/antivirus-5-bora-kwa-smartphone-yako.html
http://zotekalitricks.blogspot.com/
http://zotekalitricks.blogspot.com/
http://zotekalitricks.blogspot.com/2016/12/antivirus-5-bora-kwa-smartphone-yako.html
true
1497846088060985027
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy