Njia mbili Rahisi za kudownload video youtube bila kutumia software | TRICKS ZOTE

Njia mbili Rahisi za kudownload video youtube bila kutumia software

Salam ndugu msomaji wa blog hii leo nimekuwekea njia hizi kwa maandishi lakini kama unahitaji kupata maelekezo kwa njia ya video tazama hapa...

Salam ndugu msomaji wa blog hii leo nimekuwekea njia hizi kwa maandishi lakini kama unahitaji kupata maelekezo kwa njia ya video tazama hapa chini.


NJIA YA KWANZA

Ingia kwenye mtandao wa youtube hapa www.youtube.com kisha
tafuta video unayoita kuipakuwa ibofye kama unataka kuiangalia juu kabisa ya browser ambayo utakuwa umetumia utaona link kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini
Kwenye hiyo link ongeza doble s yaani SS mbili kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini
Kisha bofya Inter kwenye computer yako itakuletea muonekano huu


Bofya neno download (pakua) nayoitaanza kudownload mpaka kufikia hapo utakuwa umeshafanikiwa kudownload video youtube


NJIA YA PILI

Njia ya pili pia ni rahisi mno kwanza fungua browser yako katika TAB mbili yaani funguawww.youtube.com kisha fungua www.youtubeinmp4.com  kisha tafuta video unyataka kudownload youtube nakili (copy) link ya hiyo video kisha paste (pachika) kwenye youtube in mp4 kisha bofya neno download nayo itaanza kupakuwa video hiyo.



kufikia hapa utakuwa tayari umesha pata mwanga japo kwa uchache kuhusu kupakuwa video kutoka youtube, Kama hujaelewa niachie maoni yako hapo chini

COMMENTS

Name

Adsense,4,Advertise,1,Android,14,Antivirus,6,Apple,2,Apps,1,Blog / Magazine,1,Blog /Magazine,1,Blogger,1,Blogger Template,5,Blogging,5,Business,3,CodeCanyon,2,Computer,3,Corporate,3,Earn Money,1,Facebook,2,Gadget,2,Games,1,Gbwhatsapp,1,Hack,1,Hacker,1,Hp,1,Htc,1,HTC One M9,1,Huawei,1,Instagram,5,Internet,2,iOS,3,iPhone,1,iThemes,1,Laptop,1,Lenovo,1,MacBook,1,Magazine,1,Microsoft Surface Book,1,Mobile,9,Modem,4,News,9,News & Magazine,1,Nonprofit,1,Operating Systems,3,Personal,1,Personal Blogger Template,1,Phones & Tablets,8,Plugins,3,Premium Blogger Template,5,Responsive blogger templates,4,Review,2,Root,2,Samsung,1,Security,1,Seebait,1,Seo,3,Serial key,5,Software,1,Softwares,2,Solutions,3,Sony,2,Tablets,1,Tecno,2,Telegram,1,ThemeForest,9,Tigo,1,Top 10,1,Tricks,7,Tricks And Tips,13,Tutorial,41,Ubuntu,2,Unlock,3,Utilities,1,Video,1,Videos,1,Vodacom,1,Webdesigns,1,Whatsapp,14,Window7,2,Window8,1,Windows,4,Windows 10,2,Windows 7,3,Windows 8,2,Windows 8.1,1,WordPress Themes,7,WordPress Tutorials,1,Youtube,3,
ltr
item
TRICKS ZOTE: Njia mbili Rahisi za kudownload video youtube bila kutumia software
Njia mbili Rahisi za kudownload video youtube bila kutumia software
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjTEvevj5kYo-JR_vgp2bArE6EzsoDOkN2vSzNmU8QYiskg0sNXRcqGmVqPPidh2CiepO2rqIAQPhu9sNMglHPKbUQkwDBK3Tn31VBDXqRIE9UQcn98oLh7F0i68rlTS8bV7UKlyfumvtI/s320/youtube-950900_960_720.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjTEvevj5kYo-JR_vgp2bArE6EzsoDOkN2vSzNmU8QYiskg0sNXRcqGmVqPPidh2CiepO2rqIAQPhu9sNMglHPKbUQkwDBK3Tn31VBDXqRIE9UQcn98oLh7F0i68rlTS8bV7UKlyfumvtI/s72-c/youtube-950900_960_720.png
TRICKS ZOTE
http://zotekalitricks.blogspot.com/2016/11/njia-mbili-rahisi-za-kudownload-video.html
http://zotekalitricks.blogspot.com/
http://zotekalitricks.blogspot.com/
http://zotekalitricks.blogspot.com/2016/11/njia-mbili-rahisi-za-kudownload-video.html
true
1497846088060985027
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy