Habari yako msomaji wangu tuendelee kuhabarishana na kujuzana kuhusu haya mautundu na maujanja huku kwenye ulimwengu wa technology leo tusem...
Habari yako msomaji wangu tuendelee kuhabarishana na kujuzana kuhusu haya mautundu na maujanja huku kwenye ulimwengu wa technology leo tuseme basi ku un-lock modem zetu leo ni mwisho kabisaaa sababu tunayo njia itakayotufanya tutumie line ya voda kwenye modem ya tigo au line yeyote kwenye modem yeyote bila hata kuifanyia un-lock fuata maelekezo haya utapata faida ya somo hili
hatua za kufuata
- unachotakiwa ni kuwa na modem yeyote na line ya mtandao wowote unaotumika kwenye nchi uliyopo
- Download (pakua) nokia suite kwenye PC yako download hapa >>>http://nokia_pc_suite.en.downloadastro.com/download/
- weka modem yako kwenye mashine yako
- funga software ya modem yako
- fungua program yako ya nokia pc
- kisha bofya sehemu iliyo andikwa "creat internet connection" itakuletea ujumbe huu "no device connected"
- bonyeza "sparner like icon" itakuonyesha modem yako
- bofya tena kwenye icon ili uweze kuset (kupanga) APN za internet kama unavyopanga kwenye simu yako
- bofya conect
- itaunganisha na kukuonyesha kasi ya internet yako
COMMENTS