Habari na karibu tena katika ukumbi huu jana nilizungumzia [ jinsi ya kutumia account 3 za instagram katika simu moja ] lakini leo nimekuja ...
Habari na karibu tena katika ukumbi huu jana nilizungumzia [jinsi ya kutumia account 3 za instagram katika simu moja] lakini leo nimekuja na njia mpya ambayo itakuwezesha kutumia zaidi ya akaunti tano za instagram bila kuweka application nyingine kama OGinsta+ ili usitoke patupu katika makala hii kuwa makini na kufuata maelekezo hapa chini
Jinsi ya kufanya ili utumie zaidi ya akaunti moja kwenye app ya instagram
Hakuna haja ya kuwa na application mbili au tatu za Instagram kwenye simu mmoja fungua Instagram yako then fanya kama unataka kulog out kuna sehemu utaona imeandikwa "ADD ACCOUNT" utaweza kulog in na account nyingi unavyotaka.
unachokakiwa kufanya ni ku-swich account tu. Soma na hii pia [ Jinsi ya kupata followers wengi instagram]
Kama unaswali niachie kwenye sanduku la maoni hapo chini nami nitajitahidi kukujibu usisahau kushare makala hii.

COMMENTS