microsoft leo wamezindua pc yao mpya ya all in one ambayo imewalenga zaidi watu wazalishaji mambo ya 3d, graphics etc. brief specs 28-inch P...
microsoft leo wamezindua pc yao mpya ya all in one ambayo imewalenga zaidi watu wazalishaji mambo ya 3d, graphics etc.
brief specs
pc hii inakuja na accessory inaitwa dial ambayo ni kama msaidizi wako ukifanya shughuli za utengenezaji picha.
angalia video kujua zaidi
bei ni kama ifuatavyo
brief specs
- 28-inch PixelSense touchscreen with 3:2 aspect ratio
- Quad-core Intel Core i7 processor
- up to 32GB RAM
- up to 2TB 'rapid hybrid drive'
- Nvidia GeForce GTX 980M graphics
- HD webcam
- Audio port
- SD card slot
- Mini DisplayPort
- Ethernet port
- 4 USB 3.0 ports
- Stereo speakers with Dolby Audio Premium
pc hii inakuja na accessory inaitwa dial ambayo ni kama msaidizi wako ukifanya shughuli za utengenezaji picha.
angalia video kujua zaidi
bei ni kama ifuatavyo
- Intel Core i5 / 8GB RAM / 2GB GPU / 1TB storage | $2,999
- Intel Core i7 / 16GB RAM / 2GB GPU / 1TB storage | $3,499
- Intel Core i7 / 32GB RAM / 4GB GPU / 2TB storage | $4,199
COMMENTS