Habari msomaji wangu karibu tena katika ukumbi huu leo, kama ndio mara yako ya kwanza kutembelea blog hii jisikie huru kuuliza chochote kuhu...
Habari msomaji wangu karibu tena katika ukumbi huu leo, kama ndio mara yako ya kwanza kutembelea blog hii jisikie huru kuuliza chochote kuhusu makala unazozisoma humu.
leo tuzungumzie swala la kukopi habari,makala au post kutoka katika blog iliyozuiliwa Right click kama michuzi, Dar 24 , Bongo5, swahilitimes n.k
Lakini ni vema kabla ya kufanya tendo hili ukawasiliana na mmiliki wa blog au website ambayo unataka kukopi makala yake kwani mpaka amefikia kuweka ulinzi katika makala zake ni kwamba haitaji uchukue katika namna ambayo hajairuhusu mmiliki sasa tuendelee.
Leo tutaanza kutumia browser ya mozilla bonyeza hapa >>> RightToClick
Kisha itakupeleka katika muonekano huo pichani kisha bonyeza Add to firefox itadownload kisha itakwambia uinstall kisha itakwambia Restart your browser utabonyeza hapo restart kisha itafunga browser yako kisha itafunguka tena hapa kuna kitu kitaongezeka juu ya browser yako upande wa kulia utaona mshale kama kwenye picha hapa chini
Ili kuweza kukopi makala katika blog/website ambayo imewekewa Contect protect ingia kwenye website hiyo kisha fungua makala unayotaka kuikopi ikisha funguka bonyeza huo mshale ulioongezeka katika browser yako kisha anza kazi yako ya kukopi mpaka hapa utakuwa umeshafanikiwa kukopi makala yeyote na kwenye website/blog yeyote hata kama imewekewa protect
Kama unahitaji kujifunza Microsoft Office jiunge na darasa letu online hapa >>>> Bhai Online Course
Sambaza makala hii kama umependezwa nayo pia niachie maoni yako hapo chini

COMMENTS