Habari za wakati karibu tena leo tuangazie kuhusu kutazama on-line tv kupitia vifaa vyetu kama simu laptop au PC leo nitakuwekea channel 4 h...
Habari za wakati karibu tena leo tuangazie kuhusu kutazama on-line tv kupitia vifaa vyetu kama simu laptop au PC leo nitakuwekea channel 4 hii ni njia rahisikuangalia channel mbalimbali za TV kupitia Computer yako ukiwa na internet, Njia hii inatumia low bandwith na unaweza ku stream HD tv hata kwa speed ya 256kbs.
Hatua za kufuata ili kukamilisha lengo
Hatua za kufuata ili kukamilisha lengo
- Install vlc media kwenye pc yako au kama tayari ulishafanya basi endelea hatua ya pili
- download magnetic code Hapa na u isave kwenye PC yako, Kisha bonyeza Right-click na ufungue kwa kutumia vlc
COMMENTS