jinsi ya kuandika meseji zitakazojituma zenyewe baadae (scheduled messages) | TRICKS ZOTE

jinsi ya kuandika meseji zitakazojituma zenyewe baadae (scheduled messages)

Siku hizi maisha yanakimbia sana na kila kukicha majukumu yanaongezeka kwa kasi ya ajabu, ni rahisi sana kusahau baadhi ya ratiba kama kufan...

Siku hizi maisha yanakimbia sana na kila kukicha majukumu yanaongezeka kwa kasi ya ajabu, ni rahisi sana kusahau baadhi ya ratiba kama kufanya mawasiliano na watu wako wa muhimu. Hapa ndipo umuhimu wa kuwa na uwezo wa kuset meseji zinazojituma unapokuja.
 Simu nyingi za kisasa zina uwezo huu wa kutuma kuandaa sms ambazo zitajituma baadae maarufu kama Scheduled sms, ila kwa leo tutaangalia jinsi ya kuset scheduled sms katika simu za tecno zinazotumia mfumo wa HiOS.

Njia za kufuata;

  1. Nenda kwenye message katika simu yako ya android
  2. Nenda kwenye thread (ujumbe) wa mtu ambaye unataka kuwasiliana naye au fungua sehemu ya kuandika sms mpya, kisha chagua mtu unayetaka kumtumia. Alafu bonyeza kitufe cha utility (kipo na alama ya jumlisha chini kabisa katika sehemu ya kuandika sms).
  3. Baada ya hapo swipe kwenda kushoto na utaona sehemu iliyoandikwa scheduled sms, baada ya kubonyeza hapo kuna ukurasa utatokea ambao utakuwezesha kuset muda na tarehe ambayo utapenda hiyo sms itumwe. Kumbuka unatakiwa uset dakika sita mbele au zaidi ya muda unaoandaa hiyo sms. Kisha bonyeza done.
  4. Baada ya hapo unaweza ukaandika sms yako, na utaona kuna kama alama ya saa pembezoni mwa hiyo sms ikimaanisha kuwa hiyo sms inasubiri muda wake ufike ili itumwe.

COMMENTS

Name

Adsense,4,Advertise,1,Android,14,Antivirus,6,Apple,2,Apps,1,Blog / Magazine,1,Blog /Magazine,1,Blogger,1,Blogger Template,5,Blogging,5,Business,3,CodeCanyon,2,Computer,3,Corporate,3,Earn Money,1,Facebook,2,Gadget,2,Games,1,Gbwhatsapp,1,Hack,1,Hacker,1,Hp,1,Htc,1,HTC One M9,1,Huawei,1,Instagram,5,Internet,2,iOS,3,iPhone,1,iThemes,1,Laptop,1,Lenovo,1,MacBook,1,Magazine,1,Microsoft Surface Book,1,Mobile,9,Modem,4,News,9,News & Magazine,1,Nonprofit,1,Operating Systems,3,Personal,1,Personal Blogger Template,1,Phones & Tablets,8,Plugins,3,Premium Blogger Template,5,Responsive blogger templates,4,Review,2,Root,2,Samsung,1,Security,1,Seebait,1,Seo,3,Serial key,5,Software,1,Softwares,2,Solutions,3,Sony,2,Tablets,1,Tecno,2,Telegram,1,ThemeForest,9,Tigo,1,Top 10,1,Tricks,7,Tricks And Tips,13,Tutorial,41,Ubuntu,2,Unlock,3,Utilities,1,Video,1,Videos,1,Vodacom,1,Webdesigns,1,Whatsapp,14,Window7,2,Window8,1,Windows,4,Windows 10,2,Windows 7,3,Windows 8,2,Windows 8.1,1,WordPress Themes,7,WordPress Tutorials,1,Youtube,3,
ltr
item
TRICKS ZOTE: jinsi ya kuandika meseji zitakazojituma zenyewe baadae (scheduled messages)
jinsi ya kuandika meseji zitakazojituma zenyewe baadae (scheduled messages)
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj_H5NyuBYqFKF5fKolIkID9uMYWuAujSATxEoEAYQ5lXrpudj8l4_x6t4wASwKyx5c2a_oWk98j1fZ_vJxA0FcQRnS458OwnyJV3HRmbuL4HutT21sNaP8H6EW2sX5N-AvM_tynKwQEf4/s1600/Screenshot_20160902-083708.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj_H5NyuBYqFKF5fKolIkID9uMYWuAujSATxEoEAYQ5lXrpudj8l4_x6t4wASwKyx5c2a_oWk98j1fZ_vJxA0FcQRnS458OwnyJV3HRmbuL4HutT21sNaP8H6EW2sX5N-AvM_tynKwQEf4/s72-c/Screenshot_20160902-083708.png
TRICKS ZOTE
http://zotekalitricks.blogspot.com/2016/10/jinsi-ya-kuandika-meseji-zitakazojituma.html
http://zotekalitricks.blogspot.com/
http://zotekalitricks.blogspot.com/
http://zotekalitricks.blogspot.com/2016/10/jinsi-ya-kuandika-meseji-zitakazojituma.html
true
1497846088060985027
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy