Habari ndugu zangu ni wakati mingine tena tunakutanaka katika ukumbi wetu huu leo nimekuja na hili jambo ambalo lilikuwa ni pasua kichwa kwa...
Habari ndugu zangu ni wakati mingine tena tunakutanaka katika ukumbi wetu huu leo nimekuja na hili jambo ambalo lilikuwa ni pasua kichwa kwa miezi hii ya karibuni
Jinsi ya kuupdate Gbwhatsapp kwa wale watumiaji wa whatsapp mbili kwenye simu moja watakuwa wamenipata vema, bofya hapa Jinsi ya kutumia whatsapp mbili kwenye simu moja sasa leo nimewaletea vision mpya kama ulikuwa unashindwa ku update gb whatsaap sasa ni wakati wako
Kama unayo ile ya zamani hauna haja ya kuifuta lakini kama tayari umeshaifuta pia hakuna tatizo chakufanya download gbwhatsapp hii mpya hapa >>> GBWHATSAPP kisha Install.
lakini mambo yamebadilika pia unaweza kufahamu Jinsi ya kutumia whatsapp 3 katika simu moja
Mpaka kufikia hapa utakuwa tayari umeshafanikiwa kuiupdate Gbwhatsapp yako furahia sasa, Ila usiwe mchoyo sambaza makala hii kwa ndugu na jamaa ila nao wafurahike pamoja nasi

COMMENTS