Fahamu mambo haya matano muhimu kuhusu Gbwhatsapp | TRICKS ZOTE

Fahamu mambo haya matano muhimu kuhusu Gbwhatsapp

GbWhatsapp ni whatsapp ambayo imeongezewa mambo mengi ambayo hayapo kwenye whatsapp tuliyoizoea. Kwa kizungu tunaweza tukaita custom whatsap...

GbWhatsapp ni whatsapp ambayo imeongezewa mambo mengi ambayo hayapo kwenye whatsapp tuliyoizoea. Kwa kizungu tunaweza tukaita custom whatsapp. Gbwhatsapp ina mambo mengi ya muhimu ambayo huwezi kuyakuta kwenye whatsapp ya kawaida. Leo nitazungumzia mambo matano ya muhumi yaliyopo kwenye Gbwhatsapp lakini hayapo kwenye whatsapp.

Bila kupoteza muda, Gbwhatsapp inakupa uwezo wa kubadili launcher icon ya whatsapp na kuipa muonekano unaotaka wewe. Mfano tazama picha chini na utagundua whatsapp yangu ya kawaida ina icon ileile ambayo kila mtu anayo lakini kwa vile nina Gbwhatsapp nimeweza kubadilisha icon yangu na kuifanya kuwa nyekundu

 Kitu kingine muhimu kuhusu GBwhatsapp ni lock chat.Lock Chat inakuwezesha kulock chat ya mtu mmoja hata mtu akijaribu kubonyeza chat ya huyo mtu basi whatsapp itamwambia aweke password ili aweze kusoma hiyo chat. Hii ni nzuri kwa wale mademu zetu wa kibongo wanaopenda kubonyeza chat za wanawake wengine ili kujua unachat nini.. Jinsi ya kuweka lock fungua chat ya mtu unayetaka kumuwekea nywila (password) kisha nenda kwenye kipengele cha setting kisha bonyeza kipengele cha chat lock kisha whatsapp itakwambia uweke password. 

Jambo lingine zuri kuhusu GBwhatsapp ni uwezo wa ku-copy status ya mtu. Wengi tunajua kwamba kwenye whatsapp huwezi ku copy status mpaka uandike sehemu halafu ndio ukaweke kwako lakini kwenye Gbwhatsapp mambo kama hayo yanawezekana na ni rahisi kama kumsukuma mlevi. Ukitaka ku-copy status ya mtu unachotakiwa kufanya ni kwenda kwenye status ya huyo mtu unayotaka ku-copy kisha bonyeza na kushikilia kwa sekunde kadhaa utaona ujumbe unaosema status copied to clipboard


GbWhatsapp ina kuwezesha kuchat kwenye magroup kijanja zaidi kushinda ilivyo kwenye Whatsapp ya kawaida. Mfano kwenye Gbwhatsapp ukiwa kwenye group na unataka ujumbe wako utume kwa mtu flani basi unachotakiwa kufanya ni kuandika alama @ kisha utaona majina ya watu ambao waliopo kweye group na utabonyeza jina unalotaka


GBwhatsapp inakuja na themes ambazo zinakupa muonekano mzuri kushinda ilivyo kwenye whatsapp ya kawaida. Themes imeifanya Gbwhatsapp kuwa nzuri zaidi ya whatsapp ya kawaida. Endapo utataka kubadilisha theme kwenye Gbwhatsapp, unachotakiwa kufanya ni kwenda kwenye menu kisha bonyeza kipengele kinachosema Gb settings. Kwenye Gbwhatsapp unaweza kuficha blue ticks na kumfanya mtu aliyekutumia asigundue kama umesoma message zake. Pia unaweza kuzuia watu wasione last seen yako, wala wasikuone online hata kama upo online. 

Kwa wale wanaotaka kujaribu Gbwhatsapp, unaweza ku-download kupitia link chini
  >>>download 

Kuwa karibu nami kwa kujiunga kupitia katika mitandao yangu ya kijamii youtube, facebook, Twitter na istagram kote huko andika jina @Riyadibhai   sambaza upendo kwa kushare makala hii

COMMENTS

Name

Adsense,4,Advertise,1,Android,14,Antivirus,6,Apple,2,Apps,1,Blog / Magazine,1,Blog /Magazine,1,Blogger,1,Blogger Template,5,Blogging,5,Business,3,CodeCanyon,2,Computer,3,Corporate,3,Earn Money,1,Facebook,2,Gadget,2,Games,1,Gbwhatsapp,1,Hack,1,Hacker,1,Hp,1,Htc,1,HTC One M9,1,Huawei,1,Instagram,5,Internet,2,iOS,3,iPhone,1,iThemes,1,Laptop,1,Lenovo,1,MacBook,1,Magazine,1,Microsoft Surface Book,1,Mobile,9,Modem,4,News,9,News & Magazine,1,Nonprofit,1,Operating Systems,3,Personal,1,Personal Blogger Template,1,Phones & Tablets,8,Plugins,3,Premium Blogger Template,5,Responsive blogger templates,4,Review,2,Root,2,Samsung,1,Security,1,Seebait,1,Seo,3,Serial key,5,Software,1,Softwares,2,Solutions,3,Sony,2,Tablets,1,Tecno,2,Telegram,1,ThemeForest,9,Tigo,1,Top 10,1,Tricks,7,Tricks And Tips,13,Tutorial,41,Ubuntu,2,Unlock,3,Utilities,1,Video,1,Videos,1,Vodacom,1,Webdesigns,1,Whatsapp,14,Window7,2,Window8,1,Windows,4,Windows 10,2,Windows 7,3,Windows 8,2,Windows 8.1,1,WordPress Themes,7,WordPress Tutorials,1,Youtube,3,
ltr
item
TRICKS ZOTE: Fahamu mambo haya matano muhimu kuhusu Gbwhatsapp
Fahamu mambo haya matano muhimu kuhusu Gbwhatsapp
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgpIvsAv8wA0elY0TVITvf_bUKcq9uIHqIJJ0oNMDOFlKobtDmYUT55ntfdrk1b85m4g8j0ZTUQ-868Vf-plcKycURLcXRZ3rDtZSkjuDztUF5As8ZZgv1RCd3G1ynJn66DaDFI9HHgkcQ/s1600/gbwhatsapp-logo.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgpIvsAv8wA0elY0TVITvf_bUKcq9uIHqIJJ0oNMDOFlKobtDmYUT55ntfdrk1b85m4g8j0ZTUQ-868Vf-plcKycURLcXRZ3rDtZSkjuDztUF5As8ZZgv1RCd3G1ynJn66DaDFI9HHgkcQ/s72-c/gbwhatsapp-logo.jpg
TRICKS ZOTE
http://zotekalitricks.blogspot.com/2016/10/fahamu-mambo-haya-matano-muhimu-kuhusu.html
http://zotekalitricks.blogspot.com/
http://zotekalitricks.blogspot.com/
http://zotekalitricks.blogspot.com/2016/10/fahamu-mambo-haya-matano-muhimu-kuhusu.html
true
1497846088060985027
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy