Hii ndio simu ya kwanza ya mkononi kutengenezwa na Samsung! | TRICKS ZOTE

Hii ndio simu ya kwanza ya mkononi kutengenezwa na Samsung!

Ni vigumu kuongelea mabingwa katika utengenezaji wa simu janja zinazofanya vizuri sana sokoni bila kuwataja Samsung. Ila unafahamu ya kwam...

Ni vigumu kuongelea mabingwa katika utengenezaji wa simu janja zinazofanya vizuri sana sokoni bila kuwataja Samsung. Ila unafahamu ya kwamba safari katika biashara ya simu ilianzia wapi? Leo fahamu mwanzo wao.

Samsung ni kampuni yenye biashara nyingi sana zaidi tu ya simu, na ingawa Samsung ipo tokea mwaka ni mwaka 1985 ndio walitengeneza simu yao ya kwanza kabisa.

Simu hiyo ilikuwa ni Samsung SC-1000 na ilikuwa ni simu inayokaa kwenye magari. Haikufanya vizuri, na matokeo yake Samsung waliwekeza miaka miwili katika utafiti zaidi.
Simu ya kwanza kutoka Samsung, Samsung SC 1000. Hii ilikuwa kwa ajili ya kutumika ndani ya gari

Na wakaja na simu iliyoitwa Samsung SH-100, iliyoingia sokoni mwaka 1988. Hii ndio simu ya mkononi ya kwanza kabisa kutoka Samsung.

Muonekano wa Samsung SH 100, simu ya kwanza ya mkononi kutengenezwa na Samsung

 

Pia simu ya Samsung SH-100 ndiyo ikawa ndio simu ya mkononi ya kwanza kabisa kubuniwa na kutengenezwa nchini Korea ya Kusini.
Wakati huu, 1988, kampuni nyingine kama vile Nokia walikuwa washaingiza sokoni simu za mkononi za aina tatu tuu – hii inakupa picha ya maendeleo makubwa yaliyofikiwa na Samsung kwa kipindi hicho.

Inasemekana simu hiyo, Samsung SH-100, iliuza kati ya nakala 1000 hadi 2000 tuu na kwa kipindi hicho haya yalikuwa ni mafanikio madogo. Lakini Samsung iliwekeza zaidi na baada ya hapo wote tunafahamu maendeleo makubwa yaliyofikiwa nayo hadi sasa.

COMMENTS

Name

Adsense,4,Advertise,1,Android,14,Antivirus,6,Apple,2,Apps,1,Blog / Magazine,1,Blog /Magazine,1,Blogger,1,Blogger Template,5,Blogging,5,Business,3,CodeCanyon,2,Computer,3,Corporate,3,Earn Money,1,Facebook,2,Gadget,2,Games,1,Gbwhatsapp,1,Hack,1,Hacker,1,Hp,1,Htc,1,HTC One M9,1,Huawei,1,Instagram,5,Internet,2,iOS,3,iPhone,1,iThemes,1,Laptop,1,Lenovo,1,MacBook,1,Magazine,1,Microsoft Surface Book,1,Mobile,9,Modem,4,News,9,News & Magazine,1,Nonprofit,1,Operating Systems,3,Personal,1,Personal Blogger Template,1,Phones & Tablets,8,Plugins,3,Premium Blogger Template,5,Responsive blogger templates,4,Review,2,Root,2,Samsung,1,Security,1,Seebait,1,Seo,3,Serial key,5,Software,1,Softwares,2,Solutions,3,Sony,2,Tablets,1,Tecno,2,Telegram,1,ThemeForest,9,Tigo,1,Top 10,1,Tricks,7,Tricks And Tips,13,Tutorial,41,Ubuntu,2,Unlock,3,Utilities,1,Video,1,Videos,1,Vodacom,1,Webdesigns,1,Whatsapp,14,Window7,2,Window8,1,Windows,4,Windows 10,2,Windows 7,3,Windows 8,2,Windows 8.1,1,WordPress Themes,7,WordPress Tutorials,1,Youtube,3,
ltr
item
TRICKS ZOTE: Hii ndio simu ya kwanza ya mkononi kutengenezwa na Samsung!
Hii ndio simu ya kwanza ya mkononi kutengenezwa na Samsung!
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjtbxSAyEJ7DleUFqhDywYFGyXTA0uoy6chi_Q4IT0SbVB0vyezRrqsKHAZhuIPjFem_jXJuMHyDYkj9bmJ_5ZaAiysVG3OWbHbGqLTZ325mEIz4_Qjb8A7abStfAlLugUaZfUpCp1jDLY/s1600/samsungsc1000.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjtbxSAyEJ7DleUFqhDywYFGyXTA0uoy6chi_Q4IT0SbVB0vyezRrqsKHAZhuIPjFem_jXJuMHyDYkj9bmJ_5ZaAiysVG3OWbHbGqLTZ325mEIz4_Qjb8A7abStfAlLugUaZfUpCp1jDLY/s72-c/samsungsc1000.png
TRICKS ZOTE
http://zotekalitricks.blogspot.com/2016/07/hii-ndio-simu-ya-kwanza-ya-mkononi.html
http://zotekalitricks.blogspot.com/
http://zotekalitricks.blogspot.com/
http://zotekalitricks.blogspot.com/2016/07/hii-ndio-simu-ya-kwanza-ya-mkononi.html
true
1497846088060985027
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy