Jinsi ya Kurekebisha memory Card iliyocorrupted | TRICKS ZOTE

Jinsi ya Kurekebisha memory Card iliyocorrupted

Habari pia karibu katika ukumbi huu maladhawa kwaajili ya kunufaika bure kabisa bila malipo yeyote leo nitakusogezea ujuzi huu wa kurekebish...

Habari pia karibu katika ukumbi huu maladhawa kwaajili ya kunufaika bure kabisa bila malipo yeyote leo nitakusogezea ujuzi huu wa kurekebisha memory ambayo imegoma kufanya kazi kwenye simu yako
tuache porojo wacha twende kwenye lengo
Kabla ya kuanza inabidi kuwa na yafuatayo.


MAHITAJI
1) uelewa wa kompyuta hata kama ni kidogo. Huo huo unatosha
2) Memory card yenyewe iliocorrupt
3)windows computer.
Okay baada ya kudaka hayo hapo juu naomba tuanze kama ifuatavyo.

 hii itafungua window feauture iitwayo command prompt ambayo ina uwezo mkubwa wa kufanya mambo mengi ila leo tunazungumzia hili la kufix memory card yetu.
 kitakachofunguka kitafanana hivi.
Now kabla ya kuanza hakiki kua disc yako haina wright protection yeyote otherwise haitasoma if else, lets goooo

baada ya hapo chomeka memory yako kwenye pc euther kwa kutumia card reader, ama modem ama any possible means iliopo. then fungua my computer, angalia removable disks zilizopo na soma herufi ya memory card yako. tutaiihitaji badae.

 kwangu mimi yangu inaonyesha H kama unavoona, yako yaweza kua tofauti, isikupe shida
Now fungua command {CMD} na uandike maneno haya chkdisk ikifatiwa na card drive yako alafu /f inatakiwa kua hivi
chkdisk h: /f

 baada ya kuandika hayo hit enter na acha computer sasa ifanye mbwembwe zake. hii inaeza chukua muda kuendana na ukubwa wa CARD na mafaili yanayobebwa ikimalizika utaona kitu kinafanana hivi.

COMMENTS

Name

Adsense,4,Advertise,1,Android,14,Antivirus,6,Apple,2,Apps,1,Blog / Magazine,1,Blog /Magazine,1,Blogger,1,Blogger Template,5,Blogging,5,Business,3,CodeCanyon,2,Computer,3,Corporate,3,Earn Money,1,Facebook,2,Gadget,2,Games,1,Gbwhatsapp,1,Hack,1,Hacker,1,Hp,1,Htc,1,HTC One M9,1,Huawei,1,Instagram,5,Internet,2,iOS,3,iPhone,1,iThemes,1,Laptop,1,Lenovo,1,MacBook,1,Magazine,1,Microsoft Surface Book,1,Mobile,9,Modem,4,News,9,News & Magazine,1,Nonprofit,1,Operating Systems,3,Personal,1,Personal Blogger Template,1,Phones & Tablets,8,Plugins,3,Premium Blogger Template,5,Responsive blogger templates,4,Review,2,Root,2,Samsung,1,Security,1,Seebait,1,Seo,3,Serial key,5,Software,1,Softwares,2,Solutions,3,Sony,2,Tablets,1,Tecno,2,Telegram,1,ThemeForest,9,Tigo,1,Top 10,1,Tricks,7,Tricks And Tips,13,Tutorial,41,Ubuntu,2,Unlock,3,Utilities,1,Video,1,Videos,1,Vodacom,1,Webdesigns,1,Whatsapp,14,Window7,2,Window8,1,Windows,4,Windows 10,2,Windows 7,3,Windows 8,2,Windows 8.1,1,WordPress Themes,7,WordPress Tutorials,1,Youtube,3,
ltr
item
TRICKS ZOTE: Jinsi ya Kurekebisha memory Card iliyocorrupted
Jinsi ya Kurekebisha memory Card iliyocorrupted
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjpZQ0qMqY-8dp3BiBXDCz6jvntrRWXu8tSvh9PyC3Q5CkJ-tLtBH0JbH6cSlKeHm4uNYXmJTRdC1I58NgCQC1Hx58EZ8l1L9lifqwxeTgmZ7ewvuLMu6IXm6zYjIhwOmgod28EspvWSzE/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjpZQ0qMqY-8dp3BiBXDCz6jvntrRWXu8tSvh9PyC3Q5CkJ-tLtBH0JbH6cSlKeHm4uNYXmJTRdC1I58NgCQC1Hx58EZ8l1L9lifqwxeTgmZ7ewvuLMu6IXm6zYjIhwOmgod28EspvWSzE/s72-c/1.jpg
TRICKS ZOTE
http://zotekalitricks.blogspot.com/2016/04/jinsi-ya-kurekebisha-memory-card.html
http://zotekalitricks.blogspot.com/
http://zotekalitricks.blogspot.com/
http://zotekalitricks.blogspot.com/2016/04/jinsi-ya-kurekebisha-memory-card.html
true
1497846088060985027
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy