Habari ndugu msomaji wangu leo ni siku ya kujuzana kuhusu kupiga pesa kwa kupitia blog/website zetu nadhani wengi wetu hutumia muda wetu ...
Habari ndugu msomaji wangu leo ni siku ya kujuzana kuhusu kupiga pesa kwa kupitia blog/website zetu nadhani wengi wetu hutumia muda wetu kuperuzi kwenye mitandao bila kupata faida yeyote basi leo tuanze kupiga pesa
Kuna program inayoitwa google adsense wametuletea labda unaijua au ulishawahi kuisikia mahali leo wacha tupashane tu ili tuone faida ya kumiliki mtandao wako
kama unamiliki blog ambayo ina domain name tembelea hapa www.google.com/adsense kisha fuata hatua ambazo watakuelekeza kufuata pia kubaliana na masharti watakayokupatia kama unamiliki blog ya blogspot kama hii www.zotekalitricks.blogspot.com
wengi katika watu husema kuwa lazima ifike miezi sita hiyo blog yako ndio ipatiwe nafasi na hawa jamaa wa google lakini si kweli inachotakiwa ni kuweka post za kiingereza na kuweka template nzuri ambazo zinasapoti adsense nenda kwenye blog yako bofya ernings sign up na uanze kupiga pesa sasa ni rahisi
tafadhali soma masharti yao kabla ya kujisajili usije ukaanza kuyabofya matangazo yako wewe mwenyewe itakula upande wako
NB
Zipo akaunti zilizotayari zinauzwa kwa bei nafuu kama unahitaji wasiliana nasi tutakupatia kwa bei nafuu kiasi
COMMENTS