Habari ndugu msomaji wa blog hii shukari kwa kutembelea tena mtandao huu hapa nipo kwaajili yako kukupa kila ujuzi niliojaaliwa kuhusu te...
Habari ndugu msomaji wa blog hii shukari kwa kutembelea tena mtandao huu hapa nipo kwaajili yako kukupa kila ujuzi niliojaaliwa kuhusu technology leo tugusie kuhusu youtube tupakue (download) audio kutoka youtube kama ulidhani kuwa haiwezekani leo sema inawezekana fuatana nami kila hatua ili usiondoke bure bila manufaa
STEPS
tafuta video unayoitaka kuwa mp3
copy (nakili) url yake
tembelea mtando wa youtube in mp3 hapa www.yutubeinmp3.com
Kisha pachika (paste) adress ya hiyo video uliyo inakili
Kisha bofya kwenye neno linalosomeka convert to mp3
baada ya sekunde 5 Kisha bofya neno download
mpaka kufikia hapo utakuwa umeshafanikiwa kupakua kwa format ya mp3
shukrani kwa kutembelea kurasa huu share plz
kuwa karibu nami kwa kulike page yangu ya facebook na twitter
COMMENTS