Habari zenu tena ndugu zangu katika uwanja huu wa kujiongezea maarifa ya kimtandao ni mimi ndugu yako nimerejea tena leo kwaajili yako leo...
Habari zenu tena ndugu zangu katika uwanja huu wa kujiongezea maarifa ya kimtandao ni mimi ndugu yako nimerejea tena leo kwaajili yako leo tujifunze njia Rahisi ya kuweka/kutumia app zilizopo kwenye play store kwenye computer zetu fuatana nami ili upate kunufaika na hili
fuata haya upate kufurahia mashine yako bila kukosa chochote
Pakua programu inayoitwa Bluestacks ni bure ipakue (download) hapa http://www.bluestacks.com/download.html
Kisha Install ni bure yaani offline sasa, Ukimaliza itakuletea muonekano huu

Chagua lugha mimi ningechagua kiingereza sababu hakuna kiswahili
endelea next step zote kisha itakuomba uweke email au ufungue email mpya kama hauna kama unayo weka email yako
Ita load kisha itafunguka mpaka hapo utakuwa umesha kamilisha sasa unaweza kutafuta program unayotaka na kuipakua kama play store
uliza kama hujaelewa hapo kwenye maoni
COMMENTS