NJIA RAHISI YA KUFUNGUA BLOG YAKO HATUA KWA HATUA | TRICKS ZOTE

NJIA RAHISI YA KUFUNGUA BLOG YAKO HATUA KWA HATUA

Habari ndugu wasomaji wa ukumbi huu leo nimekuja hapa kujuzana kuhusu kumiliki blog yako mwenyewe zipo njia nyingi za kukuwezesha kumiliki...

Habari ndugu wasomaji wa ukumbi huu leo nimekuja hapa kujuzana kuhusu kumiliki blog yako mwenyewe zipo njia nyingi za kukuwezesha kumiliki blog yako bure bila kulipia nitakutajia chache

kama 
blogger.com
wordpess.com
weebly.com
webs.com

na kuna nyingine nyingi lakini sisi leo tuangazie kufungua kutumia blogger unachotakiwa kufanya ni kutembelea link yao ambayo ni hii www.blogger.com itakuletea muonekano huu 
Hapo unachotakiwa kufanya kama unamilliki email ya gmail ingiza hapo na nywila (password) yako kama huna utafungua akaunti mpya kwa kubofya maneno yanayo someka fungua akaunti mpya (creat new account) watakuletea fomu yao utajaza na kukubaliana nao kisha watakupatia akaunti yako sasa utakuwa umesha sign in utaona muonekano huu
kwasababu ndio mara ya kwanza muhimu kuna sehemu ya lugha ukiangalia hio picha hapo juu kwa faida yako badili uweke kiingereza cha kingdom hii itakusaidia kupata nafasi ya kujisjili na matangazo ya ADSENSE, Kama unahitaji msomaji wako aje kuona jina lako kamili kwenye machapisho (post) yako jina lako kamili bofya hapo kwenye google+ profile
kama huhitaji bofya hapo kwenye creat a limited blogger profile
sisi tunahitaji jina kamili tutabofya kwenye google+ profile itatuletea muonekano huu
Tutabofya hapo kwenye creat profile hapo tutakubaliana na masharti yao mpaka mwisho tutakapo kutana na neno finish utabofya neno hili kama watakupeleka kwenye profile yako ya google+ achana nayo tembelea link yao ya www.blogger.com kutokana tulishamaliza kukubaliana nao sasa watatuletea muonekano huu
Utabofya hapo kwenye neno continue to blogger watakuletea muonekano huu
Hapo utabofya kwenye neno new blog
neno hili linapatikana upande wa kushoto utabofya  neno hilo watakuletea muonekano huu 
Hapo utajaza kicha cha blog kwenye Title na adress ya blog ambayo unahitaji 
usiandike hili neno .blogspot.com huwa linakuja lenyewe kisha chagua template inayokuvutia 
kisha bofya neno creat blog 
mpaka kufikia hapo utakuwa umeshakamilisha kumiliki blog yako hapo kazi ni kwako kuchapisha tu na kusubiri neema ya mungu ya kupata adsense na wasomaji wengi ili uweze kunufaika kwa kupitia blog yako

kama kuna kitu kitakusumbua kuhusu kufungua blog weka coment hapa chini nitakusaidia 

NB
Kama utashindwa na unahitaji nitakufungulia na kudesgin blog yako iwe na muonekano wa kuvutia kwa Tsh:25000/= wasiliana nami kwa kupiga/ujumbe whatsapp namba +255759202132 shukrani kwa kusoma makala hii msambazie na yule anayehitaji hili hii itakuwa umemsaidia pia.

COMMENTS

Name

Adsense,4,Advertise,1,Android,14,Antivirus,6,Apple,2,Apps,1,Blog / Magazine,1,Blog /Magazine,1,Blogger,1,Blogger Template,5,Blogging,5,Business,3,CodeCanyon,2,Computer,3,Corporate,3,Earn Money,1,Facebook,2,Gadget,2,Games,1,Gbwhatsapp,1,Hack,1,Hacker,1,Hp,1,Htc,1,HTC One M9,1,Huawei,1,Instagram,5,Internet,2,iOS,3,iPhone,1,iThemes,1,Laptop,1,Lenovo,1,MacBook,1,Magazine,1,Microsoft Surface Book,1,Mobile,9,Modem,4,News,9,News & Magazine,1,Nonprofit,1,Operating Systems,3,Personal,1,Personal Blogger Template,1,Phones & Tablets,8,Plugins,3,Premium Blogger Template,5,Responsive blogger templates,4,Review,2,Root,2,Samsung,1,Security,1,Seebait,1,Seo,3,Serial key,5,Software,1,Softwares,2,Solutions,3,Sony,2,Tablets,1,Tecno,2,Telegram,1,ThemeForest,9,Tigo,1,Top 10,1,Tricks,7,Tricks And Tips,13,Tutorial,41,Ubuntu,2,Unlock,3,Utilities,1,Video,1,Videos,1,Vodacom,1,Webdesigns,1,Whatsapp,14,Window7,2,Window8,1,Windows,4,Windows 10,2,Windows 7,3,Windows 8,2,Windows 8.1,1,WordPress Themes,7,WordPress Tutorials,1,Youtube,3,
ltr
item
TRICKS ZOTE: NJIA RAHISI YA KUFUNGUA BLOG YAKO HATUA KWA HATUA
NJIA RAHISI YA KUFUNGUA BLOG YAKO HATUA KWA HATUA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEifUmxnSItTwrUiHeXRgLO5Vq0KawkVgFyEAvBSCpIPFXS71yuwhwseLx9MjLjJgfjTl7RdS4UmbgP3kN91f7FnMI3H283iUiH5wkfGt66Bnhyphenhyphen4QQFbAUboXWJe566it885YCdTmUZgXUNz/s640/20160131_082831-BlendCollage.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEifUmxnSItTwrUiHeXRgLO5Vq0KawkVgFyEAvBSCpIPFXS71yuwhwseLx9MjLjJgfjTl7RdS4UmbgP3kN91f7FnMI3H283iUiH5wkfGt66Bnhyphenhyphen4QQFbAUboXWJe566it885YCdTmUZgXUNz/s72-c/20160131_082831-BlendCollage.jpg
TRICKS ZOTE
http://zotekalitricks.blogspot.com/2016/01/njia-rahisi-ya-kumiliki-blog-yako.html
http://zotekalitricks.blogspot.com/
http://zotekalitricks.blogspot.com/
http://zotekalitricks.blogspot.com/2016/01/njia-rahisi-ya-kumiliki-blog-yako.html
true
1497846088060985027
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy