Habari msomaji wangu wa nguvu ni siku nyingine tena tunakutana hapa ili kupashana kuhusu mambo mbalimbali kuhusu Technology leo tuzungumzi...
Habari msomaji wangu wa nguvu ni siku nyingine tena tunakutana hapa ili kupashana kuhusu mambo mbalimbali kuhusu Technology leo tuzungumzie modem kwa wale wazee wa net maana kuna mitandao mbalimbali je ni lazima uwe na modem za mitandao yote hapa leo tuseme hapana fuatana nami kwenye makala hii ili tuweze kutanua upeo wetu kidogo fuata hatua hizi ili uweze kuenjoy
mahitaji na jinsi ya kufanya zoezi hili
- Unachotakiwa ni kuwa na modem yako pamoja na line ya simu yeyote
- Pakua (download) nokia pc suite installed katika mashine yako Ipakue hapa
- Kisha weka modem yako kwenye mashine yako unayotaka kutumia
- Kisha ifunge software ya modem yako
- fungua program yako ya nokia pc suite
- bonyeza sehemu iliyoandikwa "creat an interne connection" ikifunguka itakuletea ujumbe huu "no device connected"
- Bonyeza "sparner like icon" hapa itakuonyesha modem yako ambayo umeichomeka kwenye mashine yako
- bonyeza tena kwenye ile ICON ili uweze kuset 9kupanga) internet APN yako kama unavyoset kwenye simu yako
- kisha bonyeza connect
- itaunganisha na itakuonyesha kasi (speed) ya internet yako
mpaka kufikia hapo utakuwa umemaliza jukumu hili na kuanza kufurahia internet yako
COMMENTS