Habari msomaji wangu wa ZOTE KALI TRICKS leo ni siku yangu ya kwanza kuanza kuchapisha chapisho langu la kwanza naomba uwe karibu nami ...
Habari msomaji wangu wa ZOTE KALI TRICKS leo ni siku yangu ya kwanza kuanza kuchapisha chapisho langu la kwanza naomba uwe karibu nami kwa mautundi na tricks za maisha na ujuzi mbalimbali
leo nachukua nafasi hii kukujuza kuhusu kupakua video katika mtandao wa youtube
kwanza unachotakiwa kukifanya ni kuingia katika mtandao wa youtube
kisha tafuta video ambayo unataka kuipakua (Download) bofya video ambayo unataka kuipakua kama unataka kuiangalia juu kabisa ya browser ambayo utakua umeitumia itakuletea Link ya hiyo video kama hii >>>https://www.youtube.com/watch?v=tfCMlxTQKY8
Unachotakiwa kukifanya baada ya kuona link hio ongeza herufi s lakini ziweke mbili yaani Double S
kama hivi >>>https://www.ssyoutube.com/watch?v=tfCMlxTQKY8
Bonyeza hapo kwenye neno download itaanza kudownload mpaka kufikia hapo utakuwa tayari umekamilisha zoezi hilo
COMMENTS