Habari msomaji wangu hivi karibuni kuna habari zimesambaa kuwa kufikia mwezi juni mwaka huu simu fake zote zitazimwa fuatilia makala hii kwa...
Habari msomaji wangu hivi karibuni kuna habari zimesambaa kuwa kufikia mwezi juni mwaka huu simu fake zote zitazimwa fuatilia makala hii kwa ukaribu ili upate kugundua jinsi ya kutzama kama simu yako ipo kwenye kundi lipi feki au Original
Zifuatazo ni hatua zitakazo kusaidia kugundua simu yako ipo kundi lipi
JINSI YA KUANGALIA KAMA SIMU YAKO NI9 FAKE AU LA
Zifuatazo ni hatua zitakazo kusaidia kugundua simu yako ipo kundi lipi
JINSI YA KUANGALIA IMEI NAMBA
- Andika *#106# kisha bonyeza kitufe cha kupiga
- Baada ya kubofya kitufe cha kupiga simu yako itakuletea IMEI namba pia kama simu yako ni laini mbili basi itakuletea IMEI namba mbili
- namba hii pia utaipata katika boksi ambalo hupatiwa wakati umeinunu au nyuma baada ya kutoa betri utaijua kwasababu idadi ya namba zake ni 15
- nakili namba hizo pembeni
![]() |
Mfano wa IMEI namba |
JINSI YA KUANGALIA KAMA SIMU YAKO NI9 FAKE AU LA
- Iandike ile namba uliyoinakili katika hatua iliyopita kwenye sehemu ya kutuma ujumbe (sms)
- utume ujumbe huo kwenda namba 15090
- baada ya kutuma ujumbe huo utaangalizwa je hiyo imei namba ni ya simu ya aina ganina ni nani mtengenezaji wa simu hiyo
- subiri majibu haitachukua muda mrefu
- ujumbe wa majibu ukuija unakuwa najina la kampuni iliyotengeneza simu hiyo pamoja na jina la simu hiyo
JINSI YA KUJUA KAMA SIMU YAKO NI FEKI
- Kama jina la mtengenezaji wa simu yako pamoja na aina ya simu yako (uliyojibiwa baada ya kutuma IMEI namba) haviendani na majina ya simu yako (ambayo yameandikwa katika simu yako) basi tambua kuwa simu yako inamshaka ni vizuri ukamuuliza muuzaji wako kuhusu hilo
- kama majina uliyotumiwa hayaendani na majina ya simu yako basi upo uwezekano wa kuwa kwenye kundi lenye matatizo (fake)
NB
Nakushauri kama umekutana na mambo hayo niliyoyaeleza ni vema unabadili simu hiyo kabla ya kufikia mwezi Juni ama ufuatilie kuhusu kubadilisha kwa huyo muuzaji wako shukrani kwa kutembelea Zote kali Tricks
COMMENTS