Habari ndugu zangu ni siku nyingine tena leo tunakutana kwaajili ya kupeana maujuzi yale mungu aliyotujaalia leo tuzungumzie hili la modem...
Habari ndugu zangu ni siku nyingine tena leo tunakutana kwaajili ya kupeana maujuzi yale mungu aliyotujaalia leo tuzungumzie hili la modem ya tigo baada ya kumalizana na vodacom fuatana nami mpaka mwisho wa makala hii
wasiliana nami kwa email : waledhoumud@gmail.com
mahitaji
Huawei modem unlocker ipakue/download hapa >>>https://copy.com/3Ivruv1HrSSc | size 30kb
Firmware pia ipakue/download hapa>>>http://goo.gl/5fJlJp | size 13.5mb
JINSI YA KUFANYA ZOEZI HILI
hizi ni step chache ili uweze kukamilisha zoezi hili
Install driver za huawei E303H kwa kuinstall software ya modem yako kama umeweka laini tofauti na ya tigo itakuletea ujumbe huu
Kama hujaelewa coment hapo chini nitakusaidia Bure kabisa bila malipo yeyote usisahau kusambaza blog hii kwa watu wanaohitaji Tricks kama hizi kadri uwezavyo shukrani karibu tena
Chakufanya wewe bonyeza ok kisha ifunge software ya modem
kisha fungua huawei unlocker hakikisha imesoma IMEI namba kisha bofya calculate
Nakili (copy) flash code tutazitumia kwenye hatua inayofuata fungua firmware kisha bofya start
Itakuletea mfumo huu hapo kwenye nywila (password) pandika (paste) ile flash code tulio inakili (copy) kwenye hatua iliyopita kisha subiri utakuja ujumbe huu
Mpaka kufikia hapo utakuwa tayari umeshamaliza ku unlock modeom yako ya tigo aina ya Huawei E303H
wasiliana nami kwa email : waledhoumud@gmail.com
COMMENTS