Beats, sony na Bose ndio “headphones” zisizotumia waya zinazokimbiza kwa sasa.Headphone hizi zinaweza kulinganishwa kwa sifa zifuatazo,hii i...
Beats, sony na Bose ndio “headphones” zisizotumia waya zinazokimbiza kwa sasa.Headphone hizi zinaweza kulinganishwa kwa sifa zifuatazo,hii inakusaidia kujua ni aina ipi ya headphone unayoweza kununua kwa ajili ya usikilizaji wa sauti.
Headphone hizo ni zenye kufanana katika ku-“control” badala ya touch screen.Kutokana na ulinganishaji Beats inaonekana kuwa bei zaidi ya Sony na Bose pia inajaa ndani ya sikio ukilinganisha na sony na bose ambazo zinajaa nje ya sikio.Ukiacha na hayo Beats inauwezo wa kukaa na betri kwa muda mrefu mara mbili ya Sony na Bose.Mapungufu yaliyopo katika Beats ni kutokuwa na uwezo wa kuchuja sauti zisizohitajika ukilinganisha na Sony na Bose.
Headphones zote zinaweza kukunjika lakini beats ni ndogo na nyepesi zaidi ukilinganisha na Sony na bose.
ANTIVIRUS 5 BORA KWA SMARTPHONE YAKO
SPECIFICATION COMPARISON
- Price: the Beats and the Sony’s both are less expensive compared to Bose .
- Fit: the Beats are on-ear while the Bose and Sony cans are both over-ear.
- Battery life: the Beats absolutely crush the competition with up to 40 hours of juice while the other two pairs are rated for only half that.
- Noise canceling: the Bose and the Sony are both noise-canceling and the Beats are not.
- Size: the Beats are the lightest and smallest of the bunch with the Bose not far behind and the Sony’s are about 2 oz heavier.
- Portability: all 3 are foldable and come with carry cases (the Beats have the smallest footprint while the Bose and Sony cases are both significantly larger).
- Controls: all 3 make use of real buttons rather than a wonky touch interface but the buttons on the Beats blend in much better (and are mostly camouflaged).
- Colors: the Beats have 8 color options followed by the Sony’s with 5 and the Bose with 3.
COMMENTS